Hili la Mgunda kuwa hana vyeti, Barbara aondoke

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Kuna wakati unatamani ujifiche. Tangu mwaka jana tunaondolewa CAF CL ni kwa sababu ya ujinga wa bvr kwa sababu why wanashindwa kuajiri kocha mwenye leseni A kwa nafasi ya MATOLA why?

Hizi aibu Simba inapata bvr anajisikiaje mi naona anafeli. Why kila msimu sasa CAF tunaanza kwa ujinga huu na tunajua kila msimu ratiba inafahamika kwa nini Zoran wasingemuomba tucheze hizi game 2 huku tunatafuta mbadala why?

Imefika wakati SASA Simba apewe MAGORI awe CEO na BVR abaki huko ndani tusimuone ni aibu Mgunda kwenda kule kumbe hana cheti.
 
Kuna wakati unatamani ujifiche. Tangu mwaka jana tunaondolewa CAF CL ni kwa sababu ya ujinga wa bvr kwa sababu why wanashindwa kuajiri kocha mwenye leseni A kwa nafasi ya MATOLA why...
Kwa hiyo unampangia mwekezaji wako! Unadhani zile bilioni zake 20 ni za mchezo mchezo!!
 
Kuna wakati unatamani ujifiche. Tangu mwaka jana tunaondolewa CAF CL ni kwa sababu ya ujinga wa bvr kwa sababu why wanashindwa kuajiri kocha mwenye leseni A kwa nafasi ya MATOLA why...

Mkuu nadhani mpaka muda huu umejionea ulivyo matako
 
Reactions: BRN
Kuna wakati unatamani ujifiche. Tangu mwaka jana tunaondolewa CAF CL ni kwa sababu ya ujinga wa bvr kwa sababu why wanashindwa kuajiri kocha mwenye leseni A kwa nafasi ya MATOLA why...
Jifunze kufanya utafiti kabla ya kukurupuka kusema jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…