Hili la NBC Je Huu si Udini Jamani?


wapi nije nikusugue mbona unaishia hewani
 
wapi nije nikusugue mbona unaishia hewani

sasa mimi niliposema hawa wagalatia wanamacho lkn hawaoni! Mlidhani nasema uongo, haya huu mfano halisi!
Njoo huku! Mbona kuna wenzako wengi tu!!, kwani nyie hamna klabu ya kufahamishana mlo uko wapi !?
 
NBC saccoss wapuuuuzi sana hao mbwa!
 

ww babu una CHUKI na uisilamu, lakini kaa ukijua km uislam haufi kwa chuki zako ww na wenzako, ntakufa nyinyi uislam mtauwacha hapahapa......."hakika dini mbele ya ALLAH ni uislam"

je! dini yako hy ya ukafiri imekuamrisha uchukie dini nyengine na watu wake???
 
Nachoweza kusema hapa ni kwamba kwa LUGHA uliyotumia hapa WEWE si MWISLAM.Ahsante
 
Sikia kijana account hii haina riba ndo mana wameona kuwapongeza kwa kutochukua riba
 
NBC imejaa ukoo wa kina mkurugenzi mtendaji mkuu wa benki hiyo.kajaza ndugu zake kibao kila idara.Tanzania hii acha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…