Mkuu hyo pesa ipo unless haukidh vigezo ipo wazi kabisa kwa sasa tangu THh 10 mwez uliopita PPF NSSF wameachia hilo fao.maongez yanaendelea kati ya vyama vya wafanyakazi ili iundwe sheria ku guide hili suala isifikie kipind izuiwe tena.hii ji kwa mujibu wa chama cha wafanyakazi wa sekta ya madini na ujenzi NUMET.