Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,043
Msimu wa 2014 YANGA ilitoa Top Scorer wa CAF Champions League/LIGI YA MABINGWA AFRICA hata na wala huezi kukuta wachambuzi wa mchongo wanaisema hii kwa ukubwa wake!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila zama na vitabu vyakeMsimu wa 2014 YANGA ilitoa Top Scorer wa CAF Champions League/LIGI YA MABINGWA AFRICA hata na wala huezi kukuta wachambuzi wa mchongo wanaisema hii kwa ukubwa wake!
Kwa hiyo unapinga hakuwa mfungaji bora?Useme kabisa kuwa hayo magoli yafungwa hatua gani na timu gani ilifungwa
😂😂😂Tuoneshe picha akiwa jukwaani anapokea Tuzo bro🤣🤣🤣🤣🤣🤣 P.O.S
Msimu wa 2014 YANGA ilitoa Top Scorer wa CAF Champions League/LIGI YA MABINGWA AFRICA hata na wala huezi kukuta wachambuzi wa mchongo wanaisema hii kwa ukubwa wake!
Venezuela 🤣🤣🤣🤣Hahaaaaaa unadhani hatukumbuki... hahahaaaaaa
Ngassa alifunga magoli yote kwenye mechi moja utopolo walivyokutana na kibonde sijui kutoka wapi huko...
Hiyo tuzo yake alipokelea Afghanistan au Iraq?
P. O. S kapokea tuzo ya goal of the year na sio top scorer.Mkuu, changamoto iliyopo ni top scorer wetu wa Jangwani alifunga jumla ya magoli SITA dhidi ya timu moja tu tena dhaifu ya Komorozine ya Comoro ktk hatua ya awali ya mtoano ligi ya MABINGWA AFRICA,
Na kwa bahati mbaya timu yetu haikufika hata hatua ya makundi kwani ilitolewa round iliyofuata
Ukija kwa wenzetu wanaMsimbazi, mchezaji wao kawa top scorer kwa kufunga magoli dhidi ya timu ngumu tofauti tena hatua ngumu ya makundi na kisha timu yao ikafanikiwa kuingia hatua ya ROBO FAINALI
Tumpe kongole PO SAKHO,,kaipaisha timu yake, kaipaisha ligi yetu
Mkataba unaeleweka vzr tu, wakati wanakuja wachezaj watatu walisain miaka mi3P. O. S kapokea tuzo ya goal of the year na sio top scorer.
Ila kaipaisha Simba na yeye mwenyewe kapanda zaidi sitaona ajabu akiitwa hata timu ya taifa, Simba kibiashara wanaweza kumuuza kwa bei kubwa, japokuwa mkataba wake haueleweki
Raundi ya awalin walipocheza na timu toka ComoroUseme kabisa kuwa hayo magoli yafungwa hatua gani na timu gani ilifungwa
Jitahidi kuficha ujinga wako mkuu.Msimu wa 2014 YANGA ilitoa Top Scorer wa CAF Champions League/LIGI YA MABINGWA AFRICA hata na wala huezi kukuta wachambuzi wa mchongo wanaisema hii kwa ukubwa wake!
View attachment 2299428