Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Makonda akasimama akiwa na kipaza sauti na kumwambia Mengi ambaye ni sawa na baba yake.kuwa anampa order...siyo ombi.ni amri kuwa kwenye vyombo vyake vya habari vyote issue iwe ni serengeti Boys
Yaani taarifa ya habari za kitaifa serengeti boys,habari za kimataifa serengeti boys ,utabiri wa hali ya hewa...uwe utabiri wa matokeo ya serengeti boys,hbr za uchumi senget boys,na habari za michezo senget boys.
Akamwambia pia iwe kwnye radios na magazeti yote.ni amri siyo ombi.Mengi akatumia tu busara kupiga makofi.Mimi ngekuwa Mengi kuanzia hapo sasa.
Ngejua hii team jamaa anataka kuifanya kama yake ikifanikiwa sifa abebe yeye...Tutaona.
Lakini ananiamrisha mimi ambaye ni kama baba yake kabisa mbele za watu bila hata haya...kwa kibri kabisa? Tutaona.
Ningesema kabisa kuwa nipo pamoja naye na Sengeti Boys ikishinda hata Mechi Moja nawapa Kila mchezaji tsh 50,000,000. Halafu naonana na vijana wangu. Nawaambia wakaongee na Kipa wampe mil 30 na beki wawili mili 30 kila mmoja.nawaambia hakuna kushinda.
Tunapigwa mechi ya kwanza.kila tukirudisha wanaongeza...ya pili tunapigwa, ya tatu tunapigwa... Ya nne tunaenda kuchezea majumbani mwetu.
ANGALIZO: Mengi hajafanya hivyo ila ngekuwa mimi ndo yeye ngefanya hivyo.
HAPO HATUJAONA? TUMEONA KUWA HAYA MAMBO YANAHITAJI AKILI. KAMA MTOTO AKINAWA VIZURI ANAWEZA KULA NA WAKUBWA LAKINI KAMA SI HIVYO ATAPALIWA.