Hili la Serengeti Boys (U17) issue ipo kwa Mengi na Makonda-Uchawi ulianzia hapa

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
Makonda akasimama akiwa na kipaza sauti na kumwambia Mengi ambaye ni sawa na baba yake.kuwa anampa order...siyo ombi.ni amri kuwa kwenye vyombo vyake vya habari vyote issue iwe ni serengeti Boys

Yaani taarifa ya habari za kitaifa serengeti boys,habari za kimataifa serengeti boys ,utabiri wa hali ya hewa...uwe utabiri wa matokeo ya serengeti boys,hbr za uchumi senget boys,na habari za michezo senget boys.

Akamwambia pia iwe kwnye radios na magazeti yote.ni amri siyo ombi.Mengi akatumia tu busara kupiga makofi.Mimi ngekuwa Mengi kuanzia hapo sasa.

Ngejua hii team jamaa anataka kuifanya kama yake ikifanikiwa sifa abebe yeye...Tutaona.

Lakini ananiamrisha mimi ambaye ni kama baba yake kabisa mbele za watu bila hata haya...kwa kibri kabisa? Tutaona.

Ningesema kabisa kuwa nipo pamoja naye na Sengeti Boys ikishinda hata Mechi Moja nawapa Kila mchezaji tsh 50,000,000. Halafu naonana na vijana wangu. Nawaambia wakaongee na Kipa wampe mil 30 na beki wawili mili 30 kila mmoja.nawaambia hakuna kushinda.

Tunapigwa mechi ya kwanza.kila tukirudisha wanaongeza...ya pili tunapigwa, ya tatu tunapigwa... Ya nne tunaenda kuchezea majumbani mwetu.

ANGALIZO: Mengi hajafanya hivyo ila ngekuwa mimi ndo yeye ngefanya hivyo.

HAPO HATUJAONA? TUMEONA KUWA HAYA MAMBO YANAHITAJI AKILI. KAMA MTOTO AKINAWA VIZURI ANAWEZA KULA NA WAKUBWA LAKINI KAMA SI HIVYO ATAPALIWA.
 
We jamaa akiri zako za ajabu tumeingia fainali kwa kuandaa mashindano hatuja qualify kea process kama wengine uwezo weyu ni mdogo hatukuwa na chance achana na consipiracy theory hata wangeahidiwa milion 100 hawangezichukua timu dhaifu.
 
Siyo akiri ni Akili bwege wewe....😃😃😃


We jamaa akiri zako za ajabu tumeingia fainali kwa kuandaa mashindano hatuja qualify kea process kama wengine uwezo weyu ni mdogo hatukuwa na chance achana na consipiracy theory hata wangeahidiwa milion 100 hawangezichukua timu dhaifu.
 
Msome jamaa muelewe.... Usikurupuke 😁😁😁😁😁😁😝😝😝😝😝

We jamaa akiri zako za ajabu tumeingia fainali kwa kuandaa mashindano hatuja qualify kea process kama wengine uwezo weyu ni mdogo hatukuwa na chance achana na consipiracy theory hata wangeahidiwa milion 100 hawangezichukua timu dhaifu.
 
Serengeti boys wapo vizuri sema siasa zimewaharibu.

Kuna watu wanafurahi sana kushindwa kwa serengeti kwa sababu kuna wengine walisha fanya mitaji yao kisiasa.
 
Tatizo ni kubwa kuliko tunavyodhani kuna jambo kubwa Tanzania kama nchi inabidi tutazame ,sisi ni kushindwa tuu!!
 
Hii Serengeti boys uwezo wao ulikuwa mdogo huwezi fananisha na ile ya mwaka juzi ya akina Kabwili, mimi namashaka pia na uwezo wa kocha au namna alivyowapata hawa wachezaji, sijui kwa nini waliomuondoa Poulsen, huyu ndio aliyewanoa wakina Kabwili na uwezo wao tuliuona.
 
Kinachotuumiza watanzania ni uchawi, uchawi ni kuleteana fitna na kijinga wamemuondoa poulsen na kuweka garasa lao
 
Wewe umechangia kwa hoja nzito na yenye mashiko
 
Mkuu huyu Bashite alinikera sana aliongea maneno ya shombo sana kwa mzee Mengi yaliyojaa kiburi, dharau , majivuno kwakweli alimvunjia heshima mzee wa watu huwezi kukiamrisha chombo cha Habari cha mtu binafsi kitangaze yale unayoyataka wewe kwasababu tu ni RC
 
simpendi makonda. huwa namuombea mabaya. ana majivuno na uwezo mdogo sana wa kutafakari mambo kwa kina. huamka lolote ili aandikwe . naiombea mabaya timu ya taifa ya watoto na ile ya wakubwaq pia
 
Mnabwabwaja tu... Shida ni CCM
 
Makonda atakuwa huwa anapata cha Njombe kwa siri. Mtu mwenye akili yake timamu angemfuata Mengi ofisini wakaelewana. Angeenda na kwa wamiliki wengine wa vyombo vya habari kuongea nao. Sisi huku tungeshangaa mapambio yakiimbwa kila sehemu kuhusu Serengeti boys. Sio kwa ubabe hivyo.

Hili linazidi kujustify ukosefu wa vyombo vya habari ktk kuamua nini wakirushe na nini wasikirushe hewani.
 
Mimi aliniboa alivyotuzingua wanywa pombe ,eti tunaweza kukojolea Moto ukazima so tushirikiane kusapoti Serengeti boys .hapohapo niliichukia Serengeti boys
 
Hamasa yoyote ikishaingiliwa na Bashite au Baba yake huwa inaingiwa na mikosi. Hawa jamaa wabaki kwenye siasa zao na CHADEMA mambo mengine wakaage pembeni.
 
Mimi aliniboa alivyotuzingua wanywa pombe ,eti tunaweza kukojolea Moto ukazima so tushirikiane kusapoti Serengeti boys .hapohapo niliichukia Serengeti boys
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani hamuwezi kuuzimisha moto kwa ushirikiano mulionao ila na liquid awemo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani hamuwezi kuuzimisha moto kwa ushirikiano mulionao ila na liquid awemo
Shenzi zake ,alivyoongea huo upuuzi wake nilifuraho Sana walivyobondwa 5 na Nigeria .Uganda akaja akamaliza kazi
 
Tujuzane jamani kwani serengeti boys wameshatolewa ? Nipo Burigi huku sina taarifa nini kinaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…