Uchaguzi 2020 Hili la Sheikh Ponda liacheni. Hatua ya Ponda ni kwa maslahi ya Waislam na Watanzania

Hii ndio sababu ya Ponca kumpinga Magu
 
kama suala ni kuwepo na uwiano ktk nafasi/idara zote za serikali, kuwa wanapo teuliwa basi kuzingatiwe uwiano wa pande mbili ili kila mmoja ajihisi ni nchi yeke ktk dhamira ya kuimarisha umoja na Uzalendo wa nchi yetu jambo hilo ni la msingi sana. sasa hilo sio kwa Rais tu bali lina paswa kuzingatiwa na viongozi walio pewa Madaraka ya uteuzi wazingatie uwiano ktk nafasi za uteuzi ili kuepusha manung'uniko kwa upande mwengine, hili jambo lisifumbiwe macho wala lisionewe aibu ktk siku za mbele na ninaamini chini ya Rais Magufuli linaweza kabisaa kutatuliwa mara moja ili kuimarisha mshikamano na umoja wetu kama taifa moja, sote tuna taka kujenga taifa letu, taifa imara linajengwa na sisi sote.
 

60% umeipata wapi ?.
 
Wakuwaonea Huruma waislamu ni waislamu wenyewe swala ni hivi waislamu wa Tanzania hawajui wapi panawafaa kiukweli usimuamini Kafiri yeyote kwenye uso wa Dunia Mimi siamini kabisa kwamba maslahi ya waislamu yatatatulika ndani ya Serikali ya Tanzania
 
Kama kweli Tundu Lisu ni mpenda haki na waislamu wamchague sawa sio vibaya Ila ndg yangu kwa imani ya waislamu Haki inapatikana kwa kukifuata kitabu cha Allah (Qur-an) na Sunna za Mtume (S.A.W) Sasa ni Kafiri gañi katika Dunia yetu ya Sasa yupo tayari kuongoza kwa kutumia Qur-an ?
Tusijaribu kuuingiza uislamu katika siasa za Tanzania kwasababu tutakuja juta. Waislamu hawatopata Haki kutokana na Katiba yao na hii inaweza kupelekea tukaikosa hata hii amani ambayo tumekuwa tunajivunia
 
BORA LISSU IKIWA UTAMUONA KAFIRI KULIKO MUISILAMU MNAFIKI IKIWA UTAMUONA NA JEI KEI..
BORA KAFIRI KULIKO MUISLAM MNAFIKI
Muislamu mnafiki kwa mafundisho ya uislamu ataunguzwa zaidi kwa kuwekwa chini kabisa ya tanuri la moto hata moto ukichochewa bado nafasi ya kubaki chini ni kubwa.Makafiri angalau wanaweza kuja juu na kupata hewa.Yote ni mateso lakini haya ya wanafiki yanakirihisha zaidi. Kwa upande mwengine kafiri ana nafasi kubwa hapa duniani kubadilika na kuukwepa moto lakini mnafiki ambaye ameshaiujuwa haki na akaamua kuipuuza mara nyingi anabaki hivyo hivyo mpaka mwisho wake.Wanafiki kama masheikh ubwabwa ni hatari kuliko wakristo.
Wanafiki ubaya wao ni kuwa ni rahisi kuwabeba watu wema wengine kuingia nao motoni kwani wanakuwa karibu nao na ushawishi wao unawafikia kirahisi.Lakini makafiri kama wakristo ambao hawajaingia daraja ya kuwa maadui kwa vitimbi vyao wanakuwa tofauti na wana nafuuu kwa waislamu
 
Ila sometime dini inaharibu sana akili za watu iwapo iwapo utaipokea kimapokeo badala yw uhalisia wake [emoji848][emoji848][emoji848]
 
Haya unayoyaeleza yanaendana na mafundisho ya imani yako?
 
Nasimama na Sheikh Ponda kwenye hili. Mungu mbariki sana kwa harakati hizi za kuyatoa mashetani dhalimu
 
Nasimama na Sheikh Ponda kwenye hili. Mungu mbariki sana kwa harakati hizi za kuyatoa mashetani dhalimu
Hayo mashetani yapo kitambo na yanajulikana ila mwaka 2010 huyohuyo Sheikh Ponda aliwasaidia hao mashetani waendelee kuwepo hapo walipo.
 
Hayo umeyatoa kichwani kwako, na watu kama nyie ndio wapotoshaji, elewa JF ni mkusanyiko wa watu tofauti hivyo unapoandika kuna waelewa watakupuuza na kuna wanaotaka kujifunza kupitia maandishi yako utakuwa umewapotosha ndugu yangu katika imani jitahidi sana kuandika kile kilichosahihi, Kwa maandiko hayo na ulipoegemea bado huna kasoro na hao unaowatuhumu
 
Haki ya kua mwanamchama wa chama chochote bila kushurutishwa na izingatiwe...



Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…