mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 630
- 2,151
Serikali inamkono mrefu Kamaa wa jini maimuna. Hili limedhihirika hapo jana baada ya sintofahamu bin zengwe iliyosababisha mashaka makubwa juu ya uwepo wa mchezo wa Leo wa Yanga vs Simba.
Duru za mwehu ndama zinasema mchezo huu umeingiliwa kati na serikali ya mama Kizimkazi, kwa kuzingatia kuwa Leo yeye ndie mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya mwanamke kitaifa huko Arusha.
Hivyo nani kama mama , hawezi kukubali attention ya Siku hii muhimu kwake kujitangaza KISIASA katika mwaka huu wa uchaguzi , iende kwa malofa wawili wa taifa "Simba na Yanga"
Hivyo mama Kizimkazi ,amenyoosha mkono wake tukufu .Nahili liiwe fundisho kwa wapenda vya Bure wote kama Hawa malofa wawili "Simba na Yanga"waliokuwa wakisheherekea hela ya goli la mama .
Leo hii malofa Hawa wawili wamebaki kushikana uchawi huku mama Kizimkazi akipepea kama mwewe mawinguni
Adioooos