Hili la Simba Sc kujifanyia vurugu ili wasifanye mazoezi kukwepa goli nane, TFF wasiliache lipite hivihivi

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,440
Reaction score
8,149
Haya maigizo wanayofanya Simba sc sio ya kufumbiwa macho kabisa na mamlaka, zichukuliwe hatua kali kwa viongozi wa Simba, Meneja wa uwanja ambaye pia ni mwanasimba pamoja na kamishna wa mchezo (mwanasimba) kwa kula njama ya kuzuia Simba sc isiingie uwanjani Taifa kufanya mazoezi ili wapate kisingizio cha kulalamika na kutoleta timu uwanjani tarehe 8 ili kukwepa kufungwa goli 8 na Yanga SC. Kazi kwenu TFF, tumieni wale mabaunsa wanasimba waliokuwa wanaigiza kuzuia Basi mtapata ukweli wote.
 
Tupeni updates za kinachoendelea kwa Mkapa tujue, watu wanaingia uwanjani au kumefungwa?
 
Ujinga wa aina yako ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini.
 
Tupeni updates za kinachoendelea kwa Mkapa tujue, watu wanaingia uwanjani au kumefungwa?
Yanga tunapeleka timu. Na mashabiki wajitokeze kwa wingi kuishuhudia timu yao ikiondokan na pointi 3 muhimu. Wataosusa, nawasuse ili hatua nyingine nazo zifuate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…