Habari za muda wakuu!
Kama inavyofahamika kuwa chuo kikuu cha Dar es salaam ni miongoni mwa vyuo vikuu vikongwe hapa Afrika Mashariki na pengine Afrika,hivyo miundombinu yake ya kukidhi mahitaji makubwa ya wanafunzi wa shahada za kwanza ni mkubwa kulinganisha na wale wa shahada za pili na kuendelea.
Maana yake ni kuwa, kuna idadi kubwa ya wanafunzi wanaosoma shahada za kwanza kulinganisha na wale wa shahada za uzamili na uzamivu.
Lakini cha kushangaza ni kuwa process za kuwatolea transcript wanafunzi waliomaliza uzamili inachukua kipindi cha mwezi mmoja huku wale wa undergraduate ikichukua siku tatu tu!
Ninajiuliza mpaka sasa kuna shida gani mpaka process ya transcript ichukue mwezi mzima?
Prof Mkandara analifahamu hili?
ama ni mbinu za kutengeneza mazingira ya rushwa?
Maana kama ni kazi nyingi,ninategemea wale wa undergraduate ndo wenye kazi nyingi kutokana na idadi kubwa ya wanafunzi wanaomaliza na kuhitaji hizo transcript.
Tafadhalini sana udsm postgraduate mbadilike katika hili mmeniboa!.