Hili la Umeme linatosha kuitoa serikali madarakani, Serikali ifanye jitihada za dharula kuweka hali sawa

Hili la Umeme linatosha kuitoa serikali madarakani, Serikali ifanye jitihada za dharula kuweka hali sawa

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Habari JF, ninapoandika hapa ni zaidi ya masaa 12 hakuna umeme .suala la umeme limekuwa ni tatizo kubwa sana maeneo yote, Kazi hazifanyi lakini pia watu wanafanya shughuli zao katika mazingira magumu sana na kwa gharama kubwa .

Hili serikali haioni kuna haja ya kufanya jitihada za dharula kuepukana na shida hii?

Miaka nenda rudi umeme Tanzania tatizo ,hivi watanzania tunastahili hiki?​
 
Unadhani kutoa serikali madarakani ni kama unavyotoa mbuzi kwenye banda lako hapo mchambawima
Wewe mbona umetolewa ki*embe na imewezekana?

Ni uamuzi tu kama basha wako alivyoamua kukutoa ki*embe.
 
Habari JF , ninapoandika hapa ni zaidi ya masaa 12 hakuna umeme .suala la umeme limekuwa ni tatizo kubwa sana maeneo yote , Kazi hazifanyi lakini pia watu wanafanya shughuli zao katika mazingira magumu sana na kwa gharama kubwa .

Hili serikali haioni kuna haja ya kufanya jitihada za dharula kuepukana na shida hii ?

Miaka nenda rudi umeme Tanzania tatizo ,hivi watanzania tunastahili hiki ?​
siyo kwa mazuzuz matanzania......
Habari JF, ninapoandika hapa ni zaidi ya masaa 12 hakuna umeme .suala la umeme limekuwa ni tatizo kubwa sana maeneo yote, Kazi hazifanyi lakini pia watu wanafanya shughuli zao katika mazingira magumu sana na kwa gharama kubwa .

Hili serikali haioni kuna haja ya kufanya jitihada za dharula kuepukana na shida hii?

Miaka nenda rudi umeme Tanzania tatizo ,hivi watanzania tunastahili hiki?​
MAMA YETU YAMEMSHINDA.
 
Kiongozi BORA hujulikana nyakati NGUMU..Mama chukua hatua za muda mfupi,wakati tunasubiri kuwashwa kwa huo mtambo wa Stigler..hali sio nzuri
 
siyo kwa mazuzuz matanzania......

MAMA YETU YAMEMSHINDA.
Nenda Kenya - sehemu yote County ya Wajir haina umeme huu mwezi wa pili. Na Johannesburg wana rationining ya wiki moja moja. Mshukuru Mungu hatuna uozo huo.
 
Back
Top Bottom