Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Wewe mbona umetolewa ki*embe na imewezekana?Unadhani kutoa serikali madarakani ni kama unavyotoa mbuzi kwenye banda lako hapo mchambawima
siyo kwa mazuzuz matanzania......Habari JF , ninapoandika hapa ni zaidi ya masaa 12 hakuna umeme .suala la umeme limekuwa ni tatizo kubwa sana maeneo yote , Kazi hazifanyi lakini pia watu wanafanya shughuli zao katika mazingira magumu sana na kwa gharama kubwa .
Hili serikali haioni kuna haja ya kufanya jitihada za dharula kuepukana na shida hii ?
Miaka nenda rudi umeme Tanzania tatizo ,hivi watanzania tunastahili hiki ?
MAMA YETU YAMEMSHINDA.Habari JF, ninapoandika hapa ni zaidi ya masaa 12 hakuna umeme .suala la umeme limekuwa ni tatizo kubwa sana maeneo yote, Kazi hazifanyi lakini pia watu wanafanya shughuli zao katika mazingira magumu sana na kwa gharama kubwa .
Hili serikali haioni kuna haja ya kufanya jitihada za dharula kuepukana na shida hii?
Miaka nenda rudi umeme Tanzania tatizo ,hivi watanzania tunastahili hiki?
Nenda Kenya - sehemu yote County ya Wajir haina umeme huu mwezi wa pili. Na Johannesburg wana rationining ya wiki moja moja. Mshukuru Mungu hatuna uozo huo.siyo kwa mazuzuz matanzania......
MAMA YETU YAMEMSHINDA.
Mnapenda kujilinganisha matatizo na nchi nyingine ila changamoto Kama za demokrasia au maendeleo hamtaki kuzisikiaNenda Kenya - sehemu yote County ya Wajir haina umeme huu mwezi wa pili. Na Johannesburg wana rationining ya wiki moja moja. Mshukuru Mungu hatuna uozo huo.