Hili la umeme, Rais Magufuli hawezi kukwamishwa, mtakwama ninyi

Itashangaza na kusikitisha kama kutakuwepo na serikali itakayotelekeza mradi kama huu kati kati ya utekelezaji. Siamini kamwe kuwa kutatokea serikali kama hiyo, hata kama itatokana na wapinzani...
Nakubaliana na wewe %,hata aliye tekeleza ubinafsishaji kwa almost 85% hon.mkapa alikuta baadae anajilaumu why aliamua hivyo,japo Nia yake ilikuwa njema bt Mambo yakaenda tofauti na alivyo talaji.

kiukweli Kama Tanzania tuna akili timamu hatutakiwa kabisaaaa kubinafsisha hii miradi ya kimkakati. Hii miradi ni mikubwa na upande mwingine ni tishio hasa kwa wale wasiotutakia mema,mazingira ya kujihami na watu na namna hii yanatakiwa kuangaliwa kwa utashi mkubwa.laa sivyo tutajilaumu pakubwa.
 
TRA waandae magari ya kufaulisha abiria wao pindi SGR ikianza
 
Umeme huu huu ambao unakatakata kama viuno vya wazaramo wakiwa kwenye vigodoro?
 
Pumbafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…