Utaingizwa mjini matapeli hao, nani amekuambia kazi huwa zinauzwa?? Au ni kama wale wanaouziwa ikulu??Kulikuwa na Bandiko hapa la kazi mgodini Songea,sasa kwa baadhi ya watu walioomba wameambiwa shortlist inaandaliwa na vigezo vya kuingia kwenye shortlist inahitajika utume Tsh Laki 6 (600,000), lakini kwa kuanzia inabidi uwatumie laki 2(200,000) halafu ukishaenda kwa inteview then inabidi uwalipe inayobaki ie laki 4(400,000).
JE kama kuna mwenye details zaidi atujuze hii kitu ipo sawa au wanaweza kuingia mkenge hawa watakaoanza kutuma hizo laki 2? Na hizi nafasi ( nyingi za Operators) zilitoka kwenye gazeti au ni kwenye internet pekee?? Manake mambo ya mtandao hapa usije ukaingia UPOPO.
Nawakilisha.
Hapo hakuna kazi ni utapeli..... mimi nilipigiwa simu jumatatu jioni nikaambiwa nitangulize sh laki 2 au laki moja na nusu ndipo nitakua na uhakika wa kupata ajira baada ya kutoa hiyo hela,....
Ni kweli kuwa unaweza kukuta ajira inauzwa lakini si kwa mfumo huo mara nyingi mtu anaetaka kukuuzia kazi anakuambia kuwa kazi utapata lakini umuhakikishie kuwa mshaara wa kwanza utakaoupata utamlipa hela yake then ukimuhakikishia anakuingiza kwenye mchakato coz nayeye mwenyew yuko kwenye system ukishapata ajira anongea na HR moja kwa moja kwa hiyo hapo huna ujanja inabidi umpe chake.
Sasa hawa jamaa wa songea waliponiambia kuwa nilipe hiyo hela nikawaambia kuwa kwa vile wao wapo kwenye system wanjiajiri halafu mshaara wa kwanza ntawapatia wao wakakataa wakasema haiwezekani ndipo nilipogundua huu ni utapeli na bahati mbaya zaidi hata kampuni yenyewe haina hata website, kwa hiyo nikagundua huu ni usanii wa mjini
Nakushauri kama umepigiwa simu achana nao coz hao ni wababaishaji tulia ajira ipo tu lakini usipoteze hela yako kwa ajili ya hao jamaa.
Thanks
hao ni matapeli mkuu
Please just think,read my msg and give the proper answer!!
Tangazo lenyewe hili hapa
umbeyaKulikuwa na Bandiko hapa la kazi mgodini Songea,sasa kwa baadhi ya watu walioomba wameambiwa shortlist inaandaliwa na vigezo vya kuingia kwenye shortlist inahitajika utume Tsh Laki 6 (600,000), lakini kwa kuanzia inabidi uwatumie laki 2(200,000) halafu ukishaenda kwa inteview then inabidi uwalipe inayobaki ie laki 4(400,000).
JE kama kuna mwenye details zaidi atujuze hii kitu ipo sawa au wanaweza kuingia mkenge hawa watakaoanza kutuma hizo laki 2? Na hizi nafasi ( nyingi za Operators) zilitoka kwenye gazeti au ni kwenye internet pekee?? Manake mambo ya mtandao hapa usije ukaingia UPOPO.
Nawakilisha.
hao mabwana ni matapeli mimi nimeongea nao kwanza sayansi ndogo tu itatosha kujua hao ni changa kwa kuwa email yao inaishia gmail.com ukishaona mtu anashilikisha hela kisha email yake inaishia gmail.com ,yahoo.com,hotmail.com, n.k ujue hilo tegoKulikuwa na Bandiko hapa la kazi mgodini Songea,sasa kwa baadhi ya watu walioomba wameambiwa shortlist inaandaliwa na vigezo vya kuingia kwenye shortlist inahitajika utume Tsh Laki 6 (600,000), lakini kwa kuanzia inabidi uwatumie laki 2(200,000) halafu ukishaenda kwa inteview then inabidi uwalipe inayobaki ie laki 4(400,000).
JE kama kuna mwenye details zaidi atujuze hii kitu ipo sawa au wanaweza kuingia mkenge hawa watakaoanza kutuma hizo laki 2? Na hizi nafasi ( nyingi za Operators) zilitoka kwenye gazeti au ni kwenye internet pekee?? Manake mambo ya mtandao hapa usije ukaingia UPOPO.
Nawakilisha.
Use ur common sense , wewe tangia umezaliwa ushawahi kuona nafasi za kazi zinauzwa?