D
Hahahaha...ni mtazamo tu usijenge chukiMnajifariji sana
Nani amekuambia wapinzani wanachotaka ni viti vya ubunge? Wanachotaka ni viongozi wanaotokana na free and fair election. Kama ni kushindwa, washindwe kwa haki; na kama ni kushinda, washinde kwa haki.Nashauri katika Yale majimbo yenye ushawishi mkubwa wa Upinzani, basi wabunge wa majimbo hayo waachie ngazi kwa kujiuzulu nafasi zao za ubunge uchaguzi ufanyike na upinzani ushinde.
Mfano: Jimbo la Arusha Mjini, Mbunge wa Sasa ajiuzulu halafu Uchaguzi ufanyike upya, LEMA achukue Jimbo. Basi mambo yanakuwa yameisha
Mnajifariji sana
Hasara ya kubeba mimba miezi 9 masikini weweMnajifariji sana
Nanyie mjifariji kwa ushindi wa kishindo oct.29Mnajifariji sana
Kabisa.Wasikuonee.Kwanza wewe bado mdogo wakuache.Hahahaha...ni mtazamo tu usijenge chuki
Sawa tajiri wewe wa kwenda kula kwa shilole na kwenda kutafuta katiba mpya kwenye maduka ya simuHasara ya kubeba mimba miezi 9 masikini wewe