CK Allan
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 2,781
- 6,139
Tarehe 4/11/2022
Waziri mkuu alizindua zoezi la ugawaji vishikwambi Kwa walimu na alisema vishikwambi vitolewe Kwa walimu WOTE nchini!
Lakini kwasasa Hali ni tofauti Kila halmashauri imekuwa na Utaratibu wake,
Wapo wanaotoa Kwa walimu wote na wengine wanatoa Kwa walimu baadhi Tu!
Mimi nishauri kama vishikwambi hivi havitoshi ni Bora viongezwe au kama Kuna watu walichepusha baadhi Kwa manufaa Yao ni Bora virejeshwe kuliko kugawa Kwa baadhi na wengine kukosa.
Mbaya zaidi tayari upendeleo na kujuana ndio msingi wa ugawaji Kwa vishikwambi vilivyopo..
Mh Angela Kairuki sijui hata kama analijua hili!!