Hivi vishikwambi lazima baada ya muda vilete chuki. Baada ya muda utasikia mwalimu kafukuzwa/kasimamishwa kazi au kisa kapoteza au kaharibu kishikwambiTarehe 4/11/2022
Waziri mkuu alizindua zoezi la ugawaji vishikwambi Kwa walimu na alisema vishikwambi vitolewe Kwa walimu WOTE nchini!
Lakini kwasasa Hali ni tofauti Kila halmashauri imekuwa na Utaratibu wake,
Wapo wanaotoa Kwa walimu wote na wengine wanatoa Kwa walimu baadhi Tu!
Mimi nishauri kama vishikwambi hivi havitoshi ni Bora viongezwe au kama Kuna watu walichepusha baadhi Kwa manufaa Yao ni Bora virejeshwe kuliko kugawa Kwa baadhi na wengine kukosa..
Mbaya zaidi tayari upendeleo na kujuana ndio msingi wa ugawaji Kwa vishikwambi vilivyopo..
Mh Angela Kairuki sijui hata kama analijua hili!!
Ndio vile vilivyotumika kwenye sensaHivi vishikwambi ndo vile vya kwenye zoezi la sensa au wamenunua vipya?
Hebu tuweke mambo ya ushabiki pembeni. Mwl akikosa kishkwambi anapungukiwa nini kwenye maisha yake. Hata sasa Hivi hawana je kuna kasoro gani inayowakumba? Mimi nasema hivyo vishkwambi vichomwe moto maana havina manufaa yoyote kwa hao wanaopewa zaidi ya kujenga uhasama.Tarehe 4/11/2022
Waziri mkuu alizindua zoezi la ugawaji vishikwambi Kwa walimu na alisema vishikwambi vitolewe Kwa walimu WOTE nchini!
Lakini kwasasa Hali ni tofauti Kila halmashauri imekuwa na Utaratibu wake,
Wapo wanaotoa Kwa walimu wote na wengine wanatoa Kwa walimu baadhi Tu!
Mimi nishauri kama vishikwambi hivi havitoshi ni Bora viongezwe au kama Kuna watu walichepusha baadhi Kwa manufaa Yao ni Bora virejeshwe kuliko kugawa Kwa baadhi na wengine kukosa.
Mbaya zaidi tayari upendeleo na kujuana ndio msingi wa ugawaji Kwa vishikwambi vilivyopo..
Mh Angela Kairuki sijui hata kama analijua hili!!
Hivyo vinaenda kuharibika tu bora wangetafuta taasisi nyingine na kuwapa lkn sio walimu.Baada ya miezi 6 watafute takwimu za hivyo vishikwambi vizima vingapi na vibovu vingapi %70 vitakuwa vilishaharibiwa.sina hakika viko vingapi jumla lakini kama tungekuwa serious vi vifaa bora sana kufundishia practice kwa kutumia video kwa wanafunzi.
Nadhani hili si jambo la kwanza kwa Watumishi hawa kupatiwa vishikwambi. Wabunge walishapatiwa pia na wana vipato vikubwa tuMtu umeajiriwa unalipwa mshahara then unalalamika kuwa unahitaji kishikwambi ili kikusaidie Nini acheni kulalamika kwa vitu vidogo
Binafsi waalimu mnatia Sana Aibu hamjitambui zero brain
Uandishi wako una matege, huku unakanusha huku unakubali.havitoshi ni Bora viongezwe au kama Kuna watu walichepusha baadhi
Fanyeni KaziNadhani hili si jambo la kwanza kwa Watumishi hawa kupatiwa vishikwambi. Wabunge walishapatiwa pia na wana vipato vikubwa tu
Uliona mwalimu nani alisema analilia kupewa kishikwambi?Mtu umeajiriwa unalipwa mshahara then unalalamika kuwa unahitaji kishikwambi ili kikusaidie Nini acheni kulalamika kwa vitu vidogo
Binafsi waalimu mnatia Sana Aibu hamjitambui zero brain