Hili la vishikwambi Serikali inajiletea mtafaruku usio na sababu kwa Walimu

Waalimu hawana vitabu, au hata baiskeli za kwenda kazini leo hii unampa mwalimu wa Mtakuja kishika mbu! Watu hawana umeme, hawana bima ya afya, hawana nyumba unawapa kikwambi?!!!
 
Mtu umeajiriwa unalipwa mshahara then unalalamika kuwa unahitaji kishikwambi ili kikusaidie Nini acheni kulalamika kwa vitu vidogo


Binafsi waalimu mnatia Sana Aibu hamjitambui zero brain
Huna adabu!
 
Uzi ufungwe ,,,
 
Hujui kuandika au unastress?
 
Kishikwambi 250k ..lakin bado walimu wanalalamika ,si ukajinunulie tu naalafu kwani kishikwambi kinakaa miaka mingapi, haizidi 3 tu je serikali ikununulie tena kikiharibika au kupotea ?
 
Mtu umeajiriwa unalipwa mshahara then unalalamika kuwa unahitaji kishikwambi ili kikusaidie Nini acheni kulalamika kwa vitu vidogo


Binafsi waalimu mnatia Sana Aibu hamjitambui zero brain
Kama mwalimu zero brain wewe uliefunzwa na walimu ni nini😁😁😁 jenga tabia ya kuheshimu taaluma za wenzio.. Maana haiwezekani kila mtu kusoma ulichosoma... Na hakuna taaluma bora zaidi ya mwenzio... Tafakari
 
Kwahiyo Hadi kugawa vishikwambi Kwa walimu wote nchini wameshindwa....
Wataweza Nini Sasa!!
 
Hivi nyie walimu mna laana gani?
Kishwkwambi cha laki mbili mnakitolea hasho hivi.
Nyie ndio maana mmekuwa dekio la CCM.
Hali ngumu ya nchi hii imesababishwa na walimu. Kila kipindi cha uchaguzi hupewa posho kidogo plus mkwara kisha mnauza haki za Watanzania
 
Uliona mwalimu nani alisema analilia kupewa kishikwambi?
Ni serikali yenyewe ndio iliamua hivyo na wala sio walimu waliomba au kulilia..

Halafu kabla hujakoment ni Bora kusoma vizuri kilichoandikwa
Mimi nakushauri achana na Kishikwambi cha serikali kitakuletea matatizo mbeleni. Jichange nunua chako utakuja nishukuru.
 
Kuna kamfumo Fulani kuwasema walimu vibaya Kwa njia ya kutafuta self actualization
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…