MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Kuna taarifa zinasema kuna operation imeagizwa Tanzania ya kuwakamata wanaolala kwenye guest house au vyumba vya kulala muda wa kazi. Yaani duh, mapolisi wanakuibukia hotelini na unakamatwa mara moja kisa umelala humo muda wa kazi.
Wakenya wenzangu mnaliona vipi, likija kwetu si ndio itakua vioja..... Jameni wabongo wanalo, lazima wafikie kuwa nchi ya viwanda hata kwa kulazimishwa....hehehe
Dar: Ukikutwa gesti mchana unakamatwa. RC Makonda akanusha kuwatuma askari kufanya msako