mwenywe umepeleka kampango kako ka kando unafanya mambos alafu polisi wanabisha ba kuingia... inakua kesi nyengine sasa!!
this is an invasion, hata nchi za udikteta hua si rahisi kufika hapa unless ni state of emergency,
Inabidi ujifunze mfumo wa nyumba kumi wa Tanzania.Hehehe!! Halafu unajua kawaida vile mapolisi huwa na wivu, wakiona una demu mrembo zaidi ndio utakoma, wanakuzingua balaa.
Yaani Bongo wanakurupuka hadi raha, juzi niliona taarifa sehemu online eti ukitokea mikoani na kutembelea Dar, lazima utoe taarifa utakaa Dar kwa muda gani kabla ugeuze. Wakaibuka na lingine eti watahesabu vijana wasiokua na ajira mjini, nyumba kwa nyumba...
Huwa unanipa raha jinsi unatetea kila aina ya huu mkurupuko, japo huwa naona hata kuna wafuasi wa CCM ambao wanasema hawaungi mkono maamuzi mengine, ila wewe duh... anyway inaitwa passion, good man.Inabidi ujifunze mfumo wa nyumba kumi wa Tanzania.