Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 4,555
- 4,758
yaani hii nchi mwenye nacho huongezewa na asie nacho huchunwa ngoziWabunge ni pasua kichwa na bado wanataka kuongezewa tena. Inachefua mno mkuu yaani hawakatwi hata sh.100.
milion12 kwa mwenzi bila makato ya kodi ni hasara kwa hazinaKuwa na bunge kama hili ni hasara kwa taifa.....
Hahahahaaaa..na maposho juu na baada ya miaka 5, pensheni safi ya 250 milioni cash.... kaazi kwelikweli.milion12 kwa mwenzi bila makato ya kodi ni hasara kwa hazina