Hili la wahaya kushirikiana mke mbona ndiyo nasikia kwa mara ya kwanza!!

Jamani naendelea ku-compile data. Baada ya muda nitazimwaga humu jamvini watu wajionee wenyewe kuhusu hako kamchezo kachafu ka wahaya.
 
Jamani naendelea ku-compile data. Baada ya muda nitazimwaga humu jamvini watu wajionee wenyewe kuhusu hako kamchezo kachafu ka wahaya.
Waongo utawajua tu wakati unaanzisha thread kwanini hauku-compile hizo data
 
Inawezekana habari hii ina ukweli ndani yake. Si kwa shemeji 2 hata kaka na dada, huwa wanasema kabila hili huwa hawanyimani. Ninamfahamu dada mmoja ana uhusiano na kaka yake (Mtoto wa baba mdogo) hapa Dar. Hata wakikutana ugenini kama nchi za nje na mikoa ya mbali wakijua wanatoka kabila moja huwa hawanyimani... They say..
 

Dumelambegu,

Wewe ni TASA au MGUMBA?
 

Inashangaza jinsi jumuiya ya mashoga/GAY inavyokua kwa haraka hapa Tanzania!
 


Wewe umetumwa??? Unaongea nini hapo. Acha upuuzi hapa alahhh
 
kashaijamatege...ooooops m soreee...Kashaibutege....shusha nondo hapa...!!!!
 
Hiiiiiii ni kweli,ilikuwa sehemu ya mila,tatizo mila hii imepungua nguvu kwa sababu ya AKAUKA(uKIMWI).
HII ILIONYESHA USHIRIKIANO,KAMA NDUGU
 
Wameelimika sana bwana hayo mamila ni ya kizamani sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…