Hili la wanawake kwenda salon za kunyolewa nywele za sehemu za siri (Waxing) limekaaje?

Usinishauri kufanya wax popote kwenye mwili wangu maana naogopa maumivu mimi

Wangolewaji wakikubali nitawarecord wanavyopakwa na kuganduliwa kwa kung'olewa huku wakigugumia maumivu nikeultee video hapa
Ungekua unaogopa maumivu usingebikiriwa😂
 
Si kweli kama wengi wao wanakwenda huko kunyolewa mavuzi na kuchezewa papuchi......wengi wao wanakwenda kuliwa uroda tu. We mke wa mtu unakwenda kunyolewa mavuzi na mwanamme mwingine usiyemjuwa ili iweje kama si kujitafutia matatizo?
 
Si kweli kama wengi wao wanakwenda huko kunyolewa mavuzi na kuchezewa papuchi......wengi wao wanakwenda kuliwa uroda tu. We mke wa mtu unakwenda kunyolewa mavuzi na mwanamme mwingine usiyemjuwa ili iweje kama si kujitafutia matatizo?
 
Inaweza chukua miezi 2 na mi 3 kwa mtu ambae hana nywele nyingi, so kukaa sana inategemea na asili yako ya nywele kama unazo nyingi ni mwezi na nusu hadi 2

Ahsante kwa muongozo
 
Hata baada ya kusoma thread hii hujapata majibu ya hilo swali lako bado!?

Au hata hujasoma!?
Bado nifafanulie, mi nilitaka tu kujuwa kama unanyolewa mavuzi huko ili nikupe offer ya weekend.
 
Sawa sijielewi, na hii offer ya kunyolewa mavuzi huitaki au? Ntakunyoa mimi mwenyewe taratibu.

Halafu utajikuta wewe nawe unajiita mwanaume
Akili zimejaa kunyoa vuzi tuu🙄🙄🙄🙄
 
Wapo wengi wanaoongelea mengi ambayo hawajawahi kuyafanya
Sio kosa mwanaume kuongelea uchungu wa kuzaa japo hajawahi ingia leba na kuzaa kwa uchungu
Wax inaumiza sana hasa kwa sisi waafica maana tuna nywele ngumu. Hasa za kulee. Sasa unavyo bandua lazma maumivu yawe makubwa sema mtu anavumilia maana wax inaondoa nywele zote na panakuwa peupe sanaa.
Ila huko kwenye waxing n kaburi jingne la ndoa na magonjwa
 
Yanafanyika bongo hii hiii

Kunyoa makwapa kuanzia elfu 20

Kunyoa kipochimanyoya kuanzia elfu 70
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] wanyonyoaji ni me au Ke? Kama me ni wazima au walihasiwa maana hii sio hali ya kawaida, ikiwa mtu anaona upaja tu hali inakuwa tete sasa huko inakuwaje! Mmmm ila kazi za watu wanaishi kwa kuchezea mbususu za wanawake[emoji3][emoji3].
 
Ukistaajabu ya Musa utaona ya firauni
 

Umeona!?
 
Aisee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…