Hili la wanawake kwenda salon za kunyolewa nywele za sehemu za siri (Waxing) limekaaje?


Inawezekana unaongea kwa kile kidogo unachokijua
Ila jitahidi kuyajua yale mengi usiyoyajua
Cc Uchira 1 Ulweso
 
Yanafanyika bongo hii hiii

Kunyoa makwapa kuanzia elfu 20

Kunyoa kipochimanyoya kuanzia elfu 70
Yaani hapo unapata hasara ya kupiteza pesa kipumbavu halafu na kuchunguliwa juu. Ila kama kuna watu wanaenda huko kunyolewa nywele za sehemu za siri, hawana utimamu wa kufikiria
 
Una moyo mimi hiyo ya nta ambayo ubandui na kitambaa siwezi hata kwa hela inauma mnooo.

Hiyo ya kupaka halafu unaibandua na zile karatasi zake ile naona haiumi dakika 20 tu kamaliza
Anayewahudumia anakuwa na junsi kama yako?
 
Vitu vinavyotumiwa havipatikaniki ili ufanye mwenyewe nyumbani kwako?
 
Nawaza tuu ilivyo kero na ngumu kujichanua kwa gynecology. Yaani sipendi basi tuu ni lazima inapobidi
Kuna watu wavivu wa mwili mpaka akili kiasi kwamba hata mishipa ya aibu na ya ppkujiheshimu imekatika
 
Ngozi ya sehemu zile inakuwa laini (inakuwa imezeeka) mpaka inapoteza ladha
 
Aisee na inipite tu siwezi fanya huo ujinga au ndo Sina ela yaani nikanyanyue miguu ninyolewe na mwanamke mwenzangu [emoji16]labda nipo mahututi

[emoji23][emoji23][emoji23]unaogopa maumivu
 
Kwani nikikunyoa hayo mavuzi ni dhambi jamani, nakupa offer mama D

Jinsia yako unaifahamu
Kama unaifahamu jitahidi walau uitendee haki


Mithali 10:8
Aliye na akili moyoni mwake atapokea agizo; Bali mpumbavu mwenye maneno mengi ataanguka.
 
Kwa kuileta hapa tayari ulishafungiwa jiwe [emoji23][emoji38][emoji16]
 
Unaonekana u mtaalamu sana wa mambo hayo itabidi nije pm
Kila mahali inafanywa kwanzia usoni. Hadi nyusi kwa wale wanaopenda kuzinyoa wachore wenyewe na wanja. Wapeleke wa bebez wako wakapendeze. Wapo wataalamu jinsia za kike wamama kabisa wengine ni wataalamu wa kusomea kabisa.
 
Mkuu tutumie picha tuone
 
Wapo na wahudumu wanaume pia simara

Wapi huko? Hakuna Wanaume wa huduma hizo niamini …na kama kuna mwanamke anaenda kufanyiwa na mwanaume huyo anakua kuna kitu anakitaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…