Hili la wanawake kwenda salon za kunyolewa nywele za sehemu za siri (Waxing) limekaaje?

Ukikutana na kipochi manyoya kilichonyolewa kwa wax na kilichonyolewa kwa wembe utaona tofauti kubwa sana. Ya wax utadhani papuchi ya teenager ilivyo laini. Hii ya wembe utadhani kidevu changu ilivyo ngumu na kukomaa.
Swali ni kwanini mwanamke ukafanyiwe waxing saloon wakati wawezafanya wewe mwenyewe au mpenzi wako anawezakukufanyia?
Nje ya mada: mama D wewe unaburuza kwa wembe au wax?

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Ni ngumu kufanya wax mwenyewe na mtu anayekufanyia wax lazima awe na mafunzo
Hata wanaowax wenzao hawawezi kujifanyia wenyewe mkuu

Ila Mimi nimerahisisha kazi I have a lady namuita home kwangu ananiwax
 
Ni ngumu kufanya wax mwenyewe na mtu anayekufanyia wax lazima awe na mafunzo
Hata wanaowax wenzao hawawezi kujifanyia wenyewe mkuu

Ila Mimi nimerahisisha kazi I have a lady namuita home kwangu ananiwax
Basi itakuwa soft and smooth [emoji39]

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Hiv vitu inabidi mtu ujifunze uwe unamfanyia bby wako mwenyewe
 
Tell your girl not to shave/wax . Ila Mimi I find myself comfortable and breathable nikiwa sina nywele maana nina asili ya nywele nyingi [emoji1]
Mh dear utakuwa unapendeza sana ukiwa huja shave..I like hairy
 
Aisee hii Mambo ni kweli,Kuna clip moja niliiona jamaa msela mwana kabisa anafanya hii Mambo,niliicheki group Fulani hivi la Mambo yetu yaleeeee! Linaitwa udambu sijui,mwenyewe nilishangaa Dem Janina Yuko naked kabisa jamaa linamfanyia hiyo Mambo,niliicheki mbususu imenona Kama andazi lililokandiwa na maziwa,dah[emoji15][emoji15] mwana Ana roho ngumu zaidi ya paka yule[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni ngumu kufanya wax mwenyewe na mtu anayekufanyia wax lazima awe na mafunzo
Hata wanaowax wenzao hawawezi kujifanyia wenyewe mkuu

Ila Mimi nimerahisisha kazi I have a lady namuita home kwangu ananiwax
Kwa hiyo kitu inakuwa soft hatari eeh
 
Wapi huko? Hakuna Wanaume wa huduma hizo niamini …na kama kuna mwanamke anaenda kufanyiwa na mwanaume huyo anakua kuna kitu anakitaka
Hata kama ni mwanamke mwenzio jamani huyo imepitiliza ndiyo mwanzo wakuwa lesbian huo tabia hujenga mazoea
 
Ha ha ha eti kama kidevu changu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hata kama ni mwanamke mwenzio jamani huyo imepitiliza ndiyo mwanzo wakuwa lesbian huo tabia hujenga mazoea

Tunapangiana maisha? ushawahi nilipia bills zozote? nimeamua nifanye wax hayo mengine ni yako
 
Tunapangiana maisha? ushawahi nilipia bills zozote? nimeamua nifanye wax hayo mengine ni yako

Yaani hawaujui ukweli kama kuna mahali wanafanyiwa huko tofauti wanadhani ni kote

Mimi nimeaattend spa tofauti kama nne hivi they do their job accordingly na hakuna hayo mambo nahudumiwa vizuri
 
Yaani hawaujui ukweli kama kuna mahali wanafanyiwa huko tofauti wanadhani ni kote

Mimi nimeaattend spa tofauti kama nne hivi they do their job accordingly na hakuna hayo mambo nahudumiwa vizuri
yaani hawajui chochote ila walivyoshupalia sasa, ujuaji tu.
 
Tunapangiana maisha? ushawahi nilipia bills zozote? nimeamua nifanye wax hayo mengine ni yako
Umekuwa mkali kweli! Nikupangie maisha best nina kuhusu mie,? Hatujuani wala usipasuke wangu kuwa na amani kila mtu anastarehe! Nimetoa maoni yangu kama yanavyotolewa na wengine. Wewe fanya yako dada
 
kw
kwenye miguu tu wake zawatu wametekenywa mpaka wakaharibu ndoa zao na wengine kuwaambukiza UKIMWI vijana wa watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…