Hili la wanawake kwenda salon za kunyolewa nywele za sehemu za siri (Waxing) limekaaje?

Haya mambo yanafanyika Tanzania hii au nchi jirani
 
Inabidi maumivu yakizidi mnyoaji akupulize kwa kwakweli
Wanang'oa na vitu gani Hannah?
Mimi nafanya local ya nta ya sukari. Hiyo nyingine inakuwa kama ni gundi hivi unaipaka unaweka kitambaa juu unabandua. Inang'oa nywele from the root inaanza kuota upya tofauti na uki shave na wembe au shaving creams hizi nywele haioti upya inaendelea pale ulipoikatia na inakuwa kali inatoboa toboa.

Ila ukifanya wax nywele haichomozi kabisa hadi wiki nne hadi 6 na inakuwa laini.
 

Nitakuomba online training tuwe tunaitumia na baba chanjaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Ni ww unatoa hii huduma, au?
 
Nshapigiwa sana demu wangu alikuwa ananyolewa The fuziz na Ex wake usipime, nilitulia baada ya kulipa kisasi usiombe ulaibu uo.
 
Binafsi nakubaliana na wewe 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…