Hili leo limenitokea tu peke yangu au tupo wengi?

Hili leo limenitokea tu peke yangu au tupo wengi?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Tokea mwaka 2016 hadi mwaka 2020 zinepita Sikukuu nyingi ila nimeshangaa ( nimejishangaa ) japo sina Hela na wala sijala Pilau leo achilia mbali Soda lakini Pasaka ya Leo nimeufurahia na Kujikuta Moyo wangu una Amani na Furaha tele.

Huenda pia hata Sikukuu ya Eid el Fitr ( Idi ) ya mwaka huu 2021 na mingine mingi ijayo nitaisheherekea kwa Furaha, Uhuru na Amani zaidi.

Asante sana Mwenyezi Mungu Baba.
 
Back
Top Bottom