Wakuu habari za wikendi
Nimekumbuka Kisaa hiki kilinitokea huko nyuma miaka 20 iliyopita.
Nilikuwa nikipata Pisi kali baada ya kuanzisha mahusiano mazuri kuna ile mnaanza kupiga stori za ndani ndani zaidi.
Akiniuliza hivi Pythagoras kwenu mko watoto wangapi? Kwakweli hili swali lilikuwa linanikera sana.
Basi nilikuwa najibu hivyo hivyo. Sisi kwetu tuko watoto 10 na mimi ndio wakwanza.
Baada ya hapo unaona Pisi kali mvuto na wewe unashuka. Unaona kabisa steam imepungua
Hivi family status inahusiana vipi na mapenzi ya watu wawili??