Hili lilinikosesha Pisi kali

Rasterman

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
33,894
Reaction score
44,117
Wakuu habari za wikendi

Nimekumbuka Kisaa hiki kilinitokea huko nyuma miaka 20 iliyopita.

Nilikuwa nikipata Pisi kali baada ya kuanzisha mahusiano mazuri kuna ile mnaanza kupiga stori za ndani ndani zaidi.

Akiniuliza hivi Pythagoras kwenu mko watoto wangapi? Kwakweli hili swali lilikuwa linanikera sana.

Basi nilikuwa najibu hivyo hivyo. Sisi kwetu tuko watoto 10 na mimi ndio wakwanza.

Baada ya hapo unaona Pisi kali mvuto na wewe unashuka. Unaona kabisa steam imepungua

Hivi family status inahusiana vipi na mapenzi ya watu wawili??
 
Alikuwa anataka kukushawishi uwaue wazazi wako ili mrithi mali, ila alivyo gundua familia yako inatosha kuunda kikosi cha kwanza cha timu ya taifa akaona uwezekano wa wewe kurithi mali zote haupo. So mission failed
 
Naskia NASA wamerusha chombo kuelekea kwenye anga la jua?
 
Eti Pisi kali, alichokisema huyu mkulima wa nyanya kina ukweli, au anajimwambafai tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…