IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,578
- 7,774
Jana baada ya kutoka kibaruani_kama kawaida nikakuta mgao wa umeme umeng'ang'ana,nikaona isiwe taabu acha niende bar ya jiran na ghetto nikapoteze muda hapo na marafiki zangu mpaka saa mbili.Karibu na meza yetu walikaa wadada watatu(seem to be decent and smart) nao wakijiburudisha kivyao,mara simu ya mmoja wao ikaaita na akasikika akisema_'nae huyu haishi bila kupiga cm kila siku,yaani kila siku ni lazima apige cm mara 3 mpaka 5...na sasa sipokei'..,tukasikia rafiki yake akimuuliza kama kamchoka?..yule dada akajibu hapana anampenda sana ila nae kazidi kumpigia cm kila wakati mpaka anamboa.
Yule dada wa tatu akasema"hata mm sipendi mwanaume anaye niganda kila saa-mwanaume mapozi bana,sio kujali kwa kuzidi kiasi_mwanaume awe waruwaru kiasi ndio flesh",...mjadala ukaendelea
My concern;hivi wadada/wapenzi wetu nn hasa mnapenda kutoka kwa wanaume,...maake wengine usimpompigia simu kutwa mzima ni mzozo,na usipo mjali sana napo mzozo,....ni nini hasa upande wenu kwenye hili
nawasilisha