Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Nov 15, 2011 #1 Unakuta watu wakati mko wapenzi,mnapeana maneno mataamu,cku mkibreak mnatukanana matusi ya nguon?hii nimeishuhudia jana corner flan hvi.
Unakuta watu wakati mko wapenzi,mnapeana maneno mataamu,cku mkibreak mnatukanana matusi ya nguon?hii nimeishuhudia jana corner flan hvi.
M Maswalala Senior Member Joined Mar 30, 2011 Posts 149 Reaction score 12 Nov 15, 2011 #2 Sas si uieleze ili tuijue then tupate idea ya kuchangia. In short umeniacha kwenye mabano