Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Ruto na Uhuru wana ugomvi gani? Ruto si makamu wake na ndiye amemteua? Why not fire him out! These were great friends? Hapa mama yetu akienda kinyume na Mkuu si anaweza akamwachisha wadhifa huo? Nielewesheni, please!
Kenya wakishakaribia uchaguzi mkuu wanasiasa wote huwa hawaelewani na ikitokea wakajenga urafiki basi ni wa kimaslahi. Si unaona hata Miguna Miguna anahaha kurudi? Mambo ya urais hayo na inaonekana tayari Uhuru kammtosa Rutto kinyume na makubaliano yao.Hivi Ruto na Uhuru wana ugomvi gani? Ruto si makamu wake na ndiye amemteua? Why not fire him out! These were great friends? Hapa mama yetu akienda kinyume na Mkuu si anaweza akamwachisha wadhifa huo? Nielewesheni, please!
Matusi siyataki. Ngoja nikupe muda ufute matusi yako!Kwani we Mkenya we endelea na kuuza vichwa na miguu ya kuku usisumbue watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio utamu wa katiba mpya. Moi angekuwa ameshamfuta kitambo maana enzi hizo ukikohoa mbele ya Moi unapigwa kalamu.Katiba haimruhusu rais kumfuta kazi naibu wake, lazima waende pamoja kwenye ndoa yao hadi mwisho wa hatamu.
Matusi siyataki. Ngoja nikupe muda ufute matusi yako!
Aliyekwambia rais anaweza kumfire makamu ni nan?Hivi Ruto na Uhuru wana ugomvi gani? Ruto si Makamu wake na ndiye amemteua? Why not fire him out! These were great friends? Hapa mama yetu akienda kinyume na Mkuu si anaweza akamwachisha wadhifa huo?
Nielewesheni, please!
Hivi Ruto na Uhuru wana ugomvi gani? Ruto si Makamu wake na ndiye amemteua? Why not fire him out! These were great friends? Hapa mama yetu akienda kinyume na Mkuu si anaweza akamwachisha wadhifa huo?
Nielewesheni, please!
Thanks a lot! Kumbe hawezi kumgusa katu! Thanks a lot maana majibu mengine yalikuwa kutoka Manzese (wanisamehe)150. Removal of Deputy President - Kenya Law Reform Commission (KLRC)
The Constitution of Kenya 2010www.klrc.go.ke
Ndiyo maana nimesema nieleweshe. Kwa hapa inawezekana, mbona Jiwe ame mfire CAG kiana! Katika Africa lolote linawezekena sema Kenya angalau wako juu kidogo on democracy!Aliyekwambia rais anaweza kumfire makamu ni nan?
Basi naifanya na mama yako ndiye kanipa mtaji, by the way ni hawala yangu! Mimi ndiyo baba yako huyu anayekwambia ni baba yako ni wa kumbambikia!
Hawezi kumfire yoyote kama katiba hairuhusu... Tatizo upo kishabiki sanaNdiyo maana nimesema nieleweshe. Kwa hapa inawezekana, mbona Jiwe ame mfire CAG kiana! Katika Africa lolote linawezekena sema Kenya angalau wako juu kidogo on democracy!
Kwanini unakuwa na mawazo yako unataka kuya impose kwangu? Kuna indication gani kuwa nipo kishabiki? You must be nuts!Hawezi kumfire yoyote kama katiba hairuhusu... Tatizo upo kishabiki sana
Basi naifanya na mama yako ndiye kanipa mtaji, by the way ni hawala yangu! Mimi ndiyo baba yako huyu anayekwambia ni baba yako ni wa kumbambikia!
Utakuwa Mkikuyu wewe siyo bure.Moi angekuwa ameshamfuta kitambo maana enzi hizo ukikohoa mbele ya Moi unapigwa kalamu.
Wakati wa Dikteta Moi kuna waziri aliachishwa kazi kupitia tangazo kwenye 'Radio ya Taifa', KBC. Tena aliyesikia tangazo hilo alikuwa dereva wake. Waziri akawa ametoka kwenye kikao hotelini na wadogo zake kwenye wizara alafu akampata dereva wake anamngoja nje ya gari lake rasmi. Dereva akamueleza kwamba anataka kurudisha gari kwenye ofisi za wizara, waziri alipomuuliza kwanini dereva akamjibu, boss hujapata habari? Mtukufu rais amekupiga kalamu na tayari kuna waziri mpya. [emoji1]Ndio utamu wa katiba mpya. Moi angekuwa ameshamfuta kitambo maana enzi hizo ukikohoa mbele ya Moi unapigwa kalamu.