mwanalukago
Member
- Feb 24, 2012
- 83
- 15
Wana JF Habari zenu!!!!
Kuna jambo moja limetokea kwenye chuo kimoja hapa dar. Liko hivi Kuna mwanafunzi mmoja alikuwa anasoma chuo kimoja kinaitwa X (Not real name). Mwanafunzi huyu alisoma mwaka wa kwanza kwenye X na alipokuwa akiingia mwaka wa pili alihama chu hicho na kuendelea na mwaka wa pili katika chuo Y(No real name). Na mwanafunzi huyu yupo mpaka sasa akiendelea na masomo yake katika chuo Y mwaka wa pili. Kinachonishangaza mimi ni huku kuhama, Hivi jambo hili linaruhusiwa kishera?
kali zaidi niliwahi kushuhudia mwanafunzi akihitimu shahada mbili kwa mpigo hapa hapa bongo kwa staili hii hii. kwahiyo usishangae kaka it happens.