asanteelimu2016
JF-Expert Member
- Sep 23, 2016
- 235
- 127
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Subiri Anaeomba moyo wako. ndo utajua una demu au Israel.
Hahaha sio kwa kichambo hicho strongSubiri Anaeomba moyo wako. ndo utajua una demu au Israel.
Minasubiri waamke tu, maana hili jiwe limerushwa wakati wamesha lala...[emoji13] [emoji13] [emoji13]Subiri Anaeomba moyo wako. ndo utajua una demu au Israel.
Minasubiri waamke tu, maana hili jiwe limerushwa wakati wamesha lala...[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Basi afadhali aridhike labda mgomba niupande mwenyewe niumwagilie maji kisha nilale nao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mfundishe kuridhika na alichonacho.
Ikibidi fanya hivyooo maana hakuna namna...laasivyo utaombwa sana pesa au atakutafutia mwenzioBasi afadhali aridhike labda mgomba niupande mwenyewe niumwagilie maji kisha nilale nao
Endeleeni kudanganyana eti kuhonga ndiyo uanamume, na malaya wengi wakishajua una akili fupi kama hizo wanaishia kukuchuna na kukuita buziJamani kwa kweli inanishangaza inakuwaje mwanaume mzima unaogopa kuhonga? kuhonga ndiyo uanamume mkuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umetishaaa mamy.Subiri Anaeomba moyo wako. ndo utajua una demu au Israel.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Subiri Anaeomba moyo wako. ndo utajua una demu au Israel.
Kula LIKE KUBWAAAAAEndeleeni kudanganyana eti kuhonga ndiyo uanamume, na malaya wengi wakishajua una akili fupi kama hizo wanaishia kukuchuna na kukuita buzi
Moja ya sifa za mwanaume ni show kali, kuitunza na kuilinda familia yake...
Hakuna sehemu yeyote duniani mwanamme husifiwa au kutuzwa kwa kuhonga, kijana badala ya kutengeza familia imara unaishia kutengeneza sifa za kijinga kwa ajili ya kusifiwa na wajinga