Hili linanikosesha usingizi

Hili linanikosesha usingizi

Kikalove

Senior Member
Joined
Feb 25, 2015
Posts
163
Reaction score
35
Me mwenzenu roho inaniuma kila nisikiapo kati ya watoto kumi wa darasa la kwanza hadi la saba wawili hawajui kusoma wala kuandika. sisi mbona tunajua vyote kwa nini tusiwafundishe.
Jamani walimu wana mzigo mkubwa sana, kwa hili wanaitaji msaada wetu wewe kama mzazi,mlezi, dada, kaka sikia wazo langu tuwape support hawa watoto.


WAZO


Kwa kila mwanajamii forum kwa kata yake ajaribu kupunguza au kuondoa hizi data hadi mwaka huu unaisha, kama inawezekakana twende kwenye shule za msingi za kata zetu tuwaombe tujue idadi ya wanafunzi wasiojua kusoma na kuandika, then twende kwa wazazi na walezi wao tuombe support ya vifaa yaan pensel na madaftari mawili tu vitatosha kuwatoa hawa watoto kwenye huu ujinga pia tuwaombe masaa kama mawili ya ziada tuwafundishe, watoto wawili wawili
wanatosha maana nahisi hawa wanahitaj msaada maalum.

MDAU WA ELIMU
 
NOTE
hilo halihusiani na dini, chama wala kabilia, nia ni kuwasaidia hawa watoto.
na hapo tutaanza na watoto walio mashuleni then tutaenda mitaan kwa wasiopata elimu kabisa
 
Miss chaga ni kwenda tu shule iliyo karibu nawe then ongea na mkuu akupe watoto wawili wasiojua kusoma na kuandika, then ukutane na wazazi wake uwambie nia, uwaombe vifaa baada ya hapo program ianze ila vizur iwe shuleni tafuta muda ambao hautaingilia vipind vyao
 
mimi nipo kata ya makumbusho zipo shule za mwananyamala kisiwan na mchangani, ni hapa dar wilaya ya kinondoni, ambaye yuko kata hii tuunge nguvu tuanze kazi as soon as possible nitafute kwa hii no 0652819017
 
Mitoto ya wanasiasa ndo haijui kusoma, how come sisi wa wakulima ndo tukachukue data za watoto wa wanasiasa of whom wameshaandaliwa maisha baada ya shule? Mimi nasema wafeli tu!
 
Back
Top Bottom