Hili linatatiza akili yangu

WISER WISE

Member
Joined
Sep 20, 2012
Posts
8
Reaction score
2
natumai tuko wazima wana jf,,naombeni mnifumbue macho kwa hili kwa zile fakat ambazo hazina field mwaka wa 1&2 pesa za field kwa wale wenye mkopo zinaweza kutumika ktk mambo mengine mfano kureplace kweny ada,,,au zinakuwa vp hapa?
 
kama huna field na fungu hilo halipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…