Hili linawezekana?

Hili linawezekana?

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691
Habari zenu wakuu?

Jambo hili nimejifikiria ni kama linaugumu fulani hivi lakini nikaona nije nishirikishe vichwa vyengine zaidi.

Jambo lenyewe ni;

Binadamu anaweza kuihamisha dunia kutoka kwenye muhimili(orbit) yake?
Kama anaweza ni kivipi/kwa njia ipi?

Ni hivyo tu.

Karibuni
 
Habari zenu wakuu..?

Jambo hili nimejifikiria ni kama linaugumu fulani hivi lkn nikaona nije nishirikishe vichwa vyengine zaidi.
Jambo lenyewe ni,
Binadamu anaweza kuihamisha dunia kutoka kwenye muhimili(orbit) yake..?
kama anaweza ni kivipi/kwa njia ipi..?
ni hivyo tu...
karibuni
duuh hapo issue kweli aisee...maana nijuavyo mimi sun gravity ndo force inayofanya dunia ikae kwe orbit yake kuzunguruka jua na iwapo speed ya dunia kuzunguka jua itakua kubwa sana basi dunia inaweza kuescape sun gravity na kutoka nje ya orbit yake
 
Habari zenu wakuu..?

Jambo hili nimejifikiria ni kama linaugumu fulani hivi lkn nikaona nije nishirikishe vichwa vyengine zaidi.
Jambo lenyewe ni,
Binadamu anaweza kuihamisha dunia kutoka kwenye muhimili(orbit) yake..?
kama anaweza ni kivipi/kwa njia ipi..?
ni hivyo tu...
karibuni
ALL IN #
 
Tecnolojia inavyozidi kukua ndivyo hivyo uwezekano nao unakaribiwa na hatimae kuwezekana
 
Inawezekana kwa kutumia mabulldoza millioni Yawe na horsepower zaidi ya billion each. Yatasimamia wapi hilo sijui.
duh! mkuu kumbuka hii ngoma inazunguka tena mizunguko miwili
lkn mmmh hii njia yako hebu explain zaidi zaidi
 
[QUZY, post: 17019564, member: 345804"]hata mimi najua teknolojia baadae inaweza but ni kivipi..?[/QUOTE]

Ukihitaji majibu utapewa ya kusadikika.
 
[QUZY, post: 17019564, member: 345804"]hata mimi najua teknolojia baadae inaweza but ni kivipi..?

Ukihitaji majibu utapewa ya kusadikika.[/QUOTE]
huanza idea na kisha kitendo hata kama hatutafika kwenye kitendo,but we can get idea.. hicho ndicho ninachomaanisha
 
Inawezekana kwa kutumia mabulldoza millioni Yawe na horsepower zaidi ya billion each. Yatasimamia wapi hilo sijui.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hya mabulldozer pa kuyaweka ndo mtihani... Mkuu umetisha
 
ukitaka kuihamisha dunia katika muhimili wake wewe sambaratisha kati ya mwezi au jupita ila sijui utahitaji mabomu ya nyuklia mangapi.
 
Back
Top Bottom