duuh hapo issue kweli aisee...maana nijuavyo mimi sun gravity ndo force inayofanya dunia ikae kwe orbit yake kuzunguruka jua na iwapo speed ya dunia kuzunguka jua itakua kubwa sana basi dunia inaweza kuescape sun gravity na kutoka nje ya orbit yakeHabari zenu wakuu..?
Jambo hili nimejifikiria ni kama linaugumu fulani hivi lkn nikaona nije nishirikishe vichwa vyengine zaidi.
Jambo lenyewe ni,
Binadamu anaweza kuihamisha dunia kutoka kwenye muhimili(orbit) yake..?
kama anaweza ni kivipi/kwa njia ipi..?
ni hivyo tu...
karibuni
ALL IN #Habari zenu wakuu..?
Jambo hili nimejifikiria ni kama linaugumu fulani hivi lkn nikaona nije nishirikishe vichwa vyengine zaidi.
Jambo lenyewe ni,
Binadamu anaweza kuihamisha dunia kutoka kwenye muhimili(orbit) yake..?
kama anaweza ni kivipi/kwa njia ipi..?
ni hivyo tu...
karibuni
[QUZY, post: 17019564, member: 345804"]hata mimi najua teknolojia baadae inaweza but ni kivipi..?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hya mabulldozer pa kuyaweka ndo mtihani... Mkuu umetishaInawezekana kwa kutumia mabulldoza millioni Yawe na horsepower zaidi ya billion each. Yatasimamia wapi hilo sijui.