Hili lipo? Kuna ukweli?

Hili lipo? Kuna ukweli?

Napoleon 1

Member
Joined
Apr 5, 2013
Posts
79
Reaction score
23
Habari wana jamvi! Mi ni mdada nitokaye ktk familia yenye kipato cha kawaida. Natarajia kujiunga chuo kikuu mwaka huu, Hali inakuwa tete kwani nimechaguliwa chuo chenye ada kubwa nahofia kusoma kwa shida, Ijumaa nilienda Tcu ili wanibadilishie chuo au tawi wakaniambia nimechelewa, Waliniambia nitafute nafasi chuo chochote nikipata nafasi niwapelekee barua, Nipo nahaha kweli naweza pata nafasi kwa siku hizi? Msaada jamani sijui pa kuanzia.
 
Jitaidi kutafuta huweza kupata kwani kila mtu na bahati yake,unaweza ukafanikiwa ukawa chachu ya wengine kwa hio usife moyo
 
Back
Top Bottom