Habari wana jamvi! Mi ni mdada nitokaye ktk familia yenye kipato cha kawaida. Natarajia kujiunga chuo kikuu mwaka huu, Hali inakuwa tete kwani nimechaguliwa chuo chenye ada kubwa nahofia kusoma kwa shida, Ijumaa nilienda Tcu ili wanibadilishie chuo au tawi wakaniambia nimechelewa, Waliniambia nitafute nafasi chuo chochote nikipata nafasi niwapelekee barua, Nipo nahaha kweli naweza pata nafasi kwa siku hizi? Msaada jamani sijui pa kuanzia.