Leo nimekaa na mke wangu tunakula ghafla maziwa yakamuuma akaniambia mtoto anakojoa ndani ndo Mana yananiuma, maana mtot ana miezi miwil alikuwa amelala.
Nikamwambia acha Imani zako za kiswahili twende tukahakikishe, tumefika tumemfunua mtoto kweli kakojoa.
Na akanambia mtoto akiwa amelala yeye yupo nje maziwa yakimuuma ima anakuwa amelala kwahiyo ndiyo anaamka anaanza kuliaau kakojoa.
Wakuu hivi Hili limekaaje kisayansi?
Je watoto wote huwa iko hivyo?.