Hili nalo la kulikemea

Njowepo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
9,710
Reaction score
2,240
Ukisafiri kwa basi toka mbeya kuja dsm kuna kacheki point kameibuka kati ya kitonga na Ilula sijui jina la icho kijiji.
Cha kusahangaza basi linaingia yule mfungua kamba analushiwa ela juu kwa juu basi linaondoka!
Jamani sasa kama kila kitongoji kitaamua kufungua maeneo kama hayo eti kwa mgongo wa kukusanya mapato hamuoni mwawapotezea mda wasafiri isitoshe amelipa alikotoka mwenye basi na anakoenda atalipa pia umu njiani ni kupotezeana wakati.
Tuache kuwa na mawazo mgando come up with other altenatives za kubeef up makusanyo!Yameanza na wizara ya fedha naona mpaka chini wanacopy na kupaste vyanzo vya fedha
 
wanatafuta hela za kutimiza ahadi za magamba walizotoa kwenye kampeni kwa hiyo kuwa mvumilivu tu
 
Hiyo ni mbinu eti wamebuni ya kukusanya mapato ya halmashauri ya wilaya ya Kilolo!! Pale mahala eti wanasema ni stendi ya mabasi!!
 
Hii inaonesha ni kwa jinsi gani tulivyo dormant katika kubuni vyanzo vya mapato kinachofanyika ni copy and paste kunzia wizarani mpka kijijini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…