Hili nalo likoje katika matokeo ya form six?

Hili nalo likoje katika matokeo ya form six?

L. Forward

Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
16
Reaction score
2
Hivi nikweli matokeo hayatoki kwa mwanafunzi ambaye mathalani alifanya mitihani yote ya chem& A.maths lakini ktk phys akawa hakuweza kufanya practical tu' kutokana na ugonjwa wakati anamalizia mitihani?? Naombeni msaada wenu............
 
ninavyojua yanatoka watachofanya watajumuisha matokeo yaliyopo tu na wasimamizi katika taarifa yao wataeeleza hivyo MATOKEO LAZIMA YATOKE
 
Back
Top Bottom