L L. Forward Member Joined Jul 11, 2015 Posts 16 Reaction score 2 Jul 12, 2015 #1 Hivi nikweli matokeo hayatoki kwa mwanafunzi ambaye mathalani alifanya mitihani yote ya chem& A.maths lakini ktk phys akawa hakuweza kufanya practical tu' kutokana na ugonjwa wakati anamalizia mitihani?? Naombeni msaada wenu............
Hivi nikweli matokeo hayatoki kwa mwanafunzi ambaye mathalani alifanya mitihani yote ya chem& A.maths lakini ktk phys akawa hakuweza kufanya practical tu' kutokana na ugonjwa wakati anamalizia mitihani?? Naombeni msaada wenu............
Ochumeraa JF-Expert Member Joined May 18, 2015 Posts 4,505 Reaction score 5,715 Jul 12, 2015 #2 Silifahamu hilo
L L. Forward Member Joined Jul 11, 2015 Posts 16 Reaction score 2 Jul 12, 2015 Thread starter #3 Msaada kidogo wanajamvi
Y yumoki JF-Expert Member Joined Jan 25, 2015 Posts 284 Reaction score 133 Jul 12, 2015 #4 ninavyojua yanatoka watachofanya watajumuisha matokeo yaliyopo tu na wasimamizi katika taarifa yao wataeeleza hivyo MATOKEO LAZIMA YATOKE
ninavyojua yanatoka watachofanya watajumuisha matokeo yaliyopo tu na wasimamizi katika taarifa yao wataeeleza hivyo MATOKEO LAZIMA YATOKE
L L. Forward Member Joined Jul 11, 2015 Posts 16 Reaction score 2 Jul 12, 2015 Thread starter #5 yumoki said: ninavyojua yanatoka watachofanya watajumuisha matokeo yaliyopo tu na wasimamizi katika taarifa yao wataeeleza hivyo MATOKEO LAZIMA YATOKE Click to expand... Nimekupata mkuu ahsante kwa hilo....
yumoki said: ninavyojua yanatoka watachofanya watajumuisha matokeo yaliyopo tu na wasimamizi katika taarifa yao wataeeleza hivyo MATOKEO LAZIMA YATOKE Click to expand... Nimekupata mkuu ahsante kwa hilo....
Kaliro X JF-Expert Member Joined Apr 18, 2013 Posts 749 Reaction score 440 Jul 16, 2015 #6 Abuukhadijah said: Nimekupata mkuu ahsante kwa hilo.... Click to expand... Vipi umefanikiwa kupata? Tupe mrejesho tafadhali
Abuukhadijah said: Nimekupata mkuu ahsante kwa hilo.... Click to expand... Vipi umefanikiwa kupata? Tupe mrejesho tafadhali