Imekuwa ni jambo la kawaida kufika ofisi ya serikali na kukuta huduma zilizoandaliwa kwa ajili ya "wahudumiwa" zina mapungufu yaliyoachwa bila kuwekwa sawa kwa makusudi ya wazi.
Kwa mfano Tembelea ofisi ya usajili wa vizazi na vifo Mbeya(RITA) Ukutani pamebandikwa fomu ya mfano jinsi ya kujaza fomu ya kuombea cheti cha kuzaliwa. eneo ulipowekwa huo mfano hakuna meza ya kuandikia! Hata ubao wa kupachikwa ukutani haupo ili unapojaza fomu kwa kufuatisha mfano hou uweze kuandika utawala hauoni umuhimu kuweka.
Vituo vya polisi pia akuna viti kwa wahudumiwa! na kama kipo basi ukae kwa makini maana ni kibovu
Vyoo pia ni kasheshe kupatikana kwa wahudumiwa hata kama zoezi la kuhudumiwa linahitaji foleni au lina mchakato mrefu. Na ikiwa kipo choo Polisi na Mahakama basi hupati maji wala tishu za kujiswafi.
Polisi ni jambo la kawaida kuulizwa una usafiri tukamkamate mtuhumiwa wako?
Yapo mapungufu mengine mengi kama kutumwa ukatoe photocopy fomu za serikali ili uhudumiwe! Haya ni ya kawaida
Vituo vya polisi na Mahakamani
Cha kujiuliza Kodi tunazolipa serikalini hazitoshi? Au bajeti ipo ila imeshaliwa? RITE