Ukiachilia mbali mlima kilimanjaro ambao umeingizwa ktk maajabu yanayopatikana Tanzania, serikali ingeingiza na hili la wanafunzi zaidi ya 5000 waliomaliza std 7 na wamechaguliwa kujiunga na secondary na hawajui kusoma na kuandika bila shaka tungeshinda.
Ajabu jingine Raisi anaeishi mda mrefu nje kuliko nchini kwake aki2mia mabilion ya pesa na ku-upload picha zake na kina Beckham, 50Cents, Steven Segal, B.Boys n.k huku nchi ikiwa ya 3 kwa umaskini. Hili ajabu kama sio #1 bac #2