YoungPastor
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 437
- 674
Waswahili wanasema " Mungu sio athumani"
Wamaasai wanasema " menya engai enanya oltung'ani"
Wasukima wanasema "Osebha ademnthu" n.k
Yote hayo ni kujaribu kutilia mkazo swala la kuthamini na kumhofu Mungu, na kuonyesha utofautu wake.
Kiapo; Ni aina nzito ya ahadi—maneno tunayosema mbele za Mungu, yanatufunga kutenda na kusema kweli licha ya gharama .
Nchi yetu pendwa ya TANZANIA, inautamaduni wa kuapisha viongozi kwa kutumia vitabu vya dini.
Hivi mtu akikuahidi kitu asipotimiza huwa unajiskiaje?
Binafsi huwa najiskia vibaya mnoooo😒😔
Ndivyo ilivyo kwa viongozi wetu wanapotoa ahadi ya kutumikia umma, na kukiuka kiapo wengine wanawajibishwa lakini wengine Ni wao na Mungu
Kadri viapo vinapo vunjwa maumivu yanaongezeka;
1.Wengine wanakosa haki zao sababu ya Rushwa.
2. Wengine wanakosa huduma stahiki sababu ya uzembe.
3. Wengine wamekuwa maskini sababu ya matumizi mabaya ya madaraka(kashtaki popote unapotaka, mimi huniwezi). N.k
Wanadamu tutavumiliana, Je! Mungu avumilie mpaka lini, Ubaya wa namna hiii..
IFIKE MAHALI WATU WAAPE kwa kupewa semina ya miezi
BIBLIA NA QURAN tuziheshimu.
Tulipunguzie taifa mapigo.