Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Kuna kosa moja kubwa linavigharimu vyama vya upinzani Tanania. Na kosa hilo limekuwa kama mwiko kulizungumza. Ni kuwa vyama vya upinzani havijabalance mizani ya dini ndani yake.
Ni mwiko na hatari kuchanganya dini au ukabila na siasa. Lakini kwenye siasa halisi huwezi kuepuka kuadress hayo mambo. Ni masuala ambayo mwanasiasa na chama chochote cha siasa lazima iyabalance. CCM imeviacha mbali sana vyama vya upinzani kwenye suala hilo. Na hii ni moja ya sifa bora ya CCM.
Chama cha CUF kilivuma na kuwa na nguvu kama chama cha upinzani. Lakini bahati yake mbaya kilikosa kubalance suala la dini. Kikaishia huko. CDM kilikuwa na bado kina nguvu lakini hakiwezi kufika popote na kitapotelea huko sababu kimeshindwa kubalance suala la dini ndani yake.
ACT nao hivyo hivyo(Japo kiukweli hawa wanaonyesha jitihada). Chama ambacho kitaweza kurekebisha kosa hili bila unafiki. Na wananchi wakaona hilo ndicho kitakachoing'oa CCM.