Hili Ndilo Taifa La Tanzania!!!!!

Taifa ambalo raia wake hawaruhusiwi kutembea mjini kwakua kuna ugeni mzito.....
 
Taifa ambalo msumeno wa sheria unakata wanyonge tu.
Taifa ambalo kiongozi wake mkuu ni mtalii.
Taifa ambalo serikali yake inasajir vyama lukuki na vinapopata umaarufu inauwa wafuasi wake kwa mabomu.
Taifa ambalo serikar yake haijali haki ya za bnadam
 
Taifa ambalo wananchi wake ni wazembe wa kufikiria maendeleo
Taifa ambalo watu wake wanawaza ngono zaidi
 
Taifa la Waziri Mkuu aliyejiuzuru kuitwa Waziri Mkuu Mstaafu.
 
50.Taifa pekee duniani lenye migogoro isiyo na tija kama kupigania nani achinje kitoweo.
 
Hahah...inasikitisha lakini...
 
taifa ambalo wapiga debe ni wengi huku jf siku ya kupiga kura hatuwaoni.
 
Taifa ambalo domokaya , mpiga debe, wapambe, ndio qualification ya uongozi wa siasa kitaifa.
 
Taifa amabalo usafi haufanyiki mpaka mgeni aje
Taifa ambalo ukifanikisha mauaji unapandishwa cheo
 
51. Taifa ambalo watu wake wasio na sifa ya kazi yoyote lakini bado wanachagua kazi za kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…