1. Ku reprint vyeti.
2. Vyeti vilivyokosewa.
Nadhani kila cheti kitachokosewa kina dau lake refu sana. Bila shaka lile dustbin la vyeti vilivyokosewa ukilitandika from Dar laweza kufika hadi Zimbabwe na kurudi.
Huu mchongo ni wa miaka na miaka no more no less.